Web

Wananchi, Young Africans SC Wametinga Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB

Wananchi, Young Africans SC Wametinga Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB


Wananchi, Young Africans Sc wametinga hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA CUP) kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la KMC Complex.

Yanga Sc itachuana na Songea United kwenye hatua inayofuata ya michuano hiyo.

FT: Yanga Sc 3-1 Coastal Union

⚽ 02’ Maxi

⚽ 15’ Maxi

⚽ 21’ Mzize

⚽ 18’ Miraji

DROO YA HATUA YA 16 BORA

Simba Sc vs BigMan

Yanga Sc vs Songea United

Tabora Utd vs Kagera Sugar

Mashujaa Fc vs Pamba Jiji

Singida Black Stars vs Kmc

JKT Tanzania vs Mbeya Kwanza

Mbeya City vs Mtibwa Sugar

Stand Utd vs Giraffe Academy

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad