Web

Yanga Hawacheki na Wowote, Watapeleka Timu Uwanjani Kama Kawaida Leo

Yanga Hawacheki na Wowote, Watapeleka Timu Uwanjani Kama Kawaida


Leo saa 1:15 usiku Yanga watakuwa Benjamini Mkapa ili kucheza mechi ya Derby.

kwa mujibu wa kanunu za mashindano zikipita dakika 30 bila Simba kutokea Yanga watapewa alama tatu na goli tatu.

Yanga wameamua kuendelea na maandalizi na kesho watakuwa Mkapa Stadium kukipiga na Simba✍️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad