TIMU ya Wanawake ya Yanga Princess imetwaa Kombe la Samia Women’s Super Cup kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya JKT Queens kwenye fainali katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
FAINALI
JKT Queens 0-3 Yanga
⚽ Aregash Kalsa
⚽Jeannine Mukandayisenga
⚽ Jeannine Mukandayisenga
MSHINDI WA TATU
FT: Simba 2-1 Fountain Gate
⚽ Jentrix Shikangwa
⚽ Wincate Kaari
⚽ Winnnie Gwatenda