Web

Yanga Wameshinda Dabi 3 Kati ya 4 za Mwisho Alizochezesha Refa Arajiga

Yanga Wameshinda Dabi 3 Kati ya 4 za Mwisho Alizochezesha Refa Arajiga


Yanga Wameshinda Dabi 3 Kati ya 4 za Mwisho Alizochezesha Refa Arajiga

  1. Yanga 2-1 Simba 20/4/2024 (Ligi kuu).
  2. Simba 1-5 Yanga 5/11/2023 (Ligi kuu).
  3. Yanga 1-0 Simba 28/5/2022 (Nusu fainali FA).
  4. Yanga 0-1 Simba 25/7/2021 (Fainali FA).

Tarehe 8/3/2025 Arajiga yupo kati kati ya dimba

Mzee wa nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi Ahmed Arajiga kutoka Mkoani Manyara ndiye atakayekuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Tanzania bara utakaowakutanisha miamba kutoka Kariakoo Yanga SC na Simba SC.

Mchezo huo utakaopigwa pale Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi utasimamiwa na mwamuzi huyu ambaye amekuwa na muendelezo bora wa performance kwenye michezo mikubwa hapa karibuni.

Arajiga atasaidiwa na Mohammed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es salaam huku Amina Kyando wa Morogoro akisimama kama mwamuzi wa mezani.

Mechi kubwa, marefa wakubwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad