Web

Alichobarikiwa Cloutas Chama ni Kucheza na Nyakati na Mida



Alichobarikiwa Chama ni kucheza na nyakati,mida kama hii ambayo anajua fika mkataba wake unaelekea ukingoni huwa anatengeneza ugomvi kati ya mashabiki na viongozi wa timu Kwa kuonesha kiwango cha Hali ya Juu uwanjani.

Mida kama hii Chama atakutesa kabla ya kukuua

Chama anajua sana kucheza na nyakati,wewe Tazama kiwango chake cha mechi mbili zilizopita🙌

Ikumbukwe Chama alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga ila kuna kipengele cha kuongeza mwaka mwingine kama Yanga wataridhika na kiwango chake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad