Mechi ya kwanza aliiharibu kwa mikono yake mwenyewe,mechi ya pili ameiamua kwa mikono yake mwenyewe.
Yes! Ndani ya dakika 90 hakuwa busy sana ila kuna nyakati alihitajika kufanya some fantastic saves,hususa ni kipindi cha kwanza kwani Masry hawakuwa haba kwenye counter.
Then Camara amekuja kutuonyesha lavel na uwezo wake wa kudaka penalty.
Yes! Aligeuka kuwa mwamba imara,timing yake,hesabu zake,uthubutu wake na confidence vilimfanya kuokoa penalty mbili za Masry.
Yes! Kila mwanadamu unahitaji nafasi ya pili kwenye maisha,Camara ameonyesha uwezo wake kwa Mkapa.