Web

AUCHO.....Moja kati ya viungo bora kuwahi kucheza kwenye ligi yetu

 

AUCHO.....Moja kati ya viungo bora kuwahi kucheza kwenye ligi yetu


Moja kati ya viungo bora kuwahi kucheza kwenye ligi yetu,ukitaka kuona tempo ya Yanga basi unatakiwa kutazama miguu ya Aucho.


Aucho anau-care mpira na kuachia kwa pasi fupi fupi,Aucho ni “controller” ambaye ana-control kila kitu kati kati ya uwanja.


Ila kusema ukweli kila lenye mwanzo lina mwisho,akili ya Aucho bado inautaka mpira ila mwili umeanza kukataa.


Aucho ametumika sana,mwili umechoka,mwishoni mwa msimu Yanga watafute namba 6 wa maana ambaye atakuja kumpunguzia Aucho majukumu na matumizi makubwa.


Kwa sasa Aucho anahitaji mechi 10-15 kwa msimu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad