BREAKING: Mwishoni mwa msimu huu Aziz Ki anatarajia kuondoka Yanga kujiunga na Wydad Casablanca ya Morocco.
Aziz amewambia viongozi wa Yanga kwamba anahitaji kucheza FIFA Club World Cup 2025,ambayo inatarajia kuanza June 14 kule Marekani.
Tayari Yanga wanalijua hilo ndio maana wamefungua mazungumzo na Fei Toto.