Web

Carrymastory: Baba Levo Naomba Hela ya Matumizi ya Mtoto....

Top Post Ad




Mwanahabari wa mitandaoni Carrymastory amezua mjadala mrefu mtandaoni baada ya kudai ela ya matumizi ya mtoto kwa msanii Baba levo.

KIitendo hiki kimezua mjadala mkubwa kumuhusu Carrymastory kumbe alizaa na Baba levo kutokana na asilimia kubwa ya watu wengi walikua hawalifahamu jambo hili.

''Naomba Hela yaa matumizi Nimechoka Mwambwamwee 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 kila siku tu unakuwa baba jina mtoto kafanana na Baba levyo matumizi hutoi NIMECHOKA .Ameandika Carrymastory

Tupe maoni yako katika hili je ni sahihi mambo ya ndani kuyaweka mtandaoni

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.