Web

Coastal Union Yamtimua Kocha Mwambusi, Kuikabili Yanga Kesho Bila Kocha




Coastal Union imemfuta kazi kocha Juma Mwambusi kutokana na mwenendo mbaya wa timu na kutoelewana na baadhi ya wachezaji

Aliondoka kambini jana usiku na amedumu kwa miezi 5 na nusu ndani ya timu hiyo

Kesho Jumatatu Coastal wataikabili Yanga pale KMC Complex

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad