Kuna Afisa habari alisema Simba wamefeli kumchukua mwalimu ambaye hajawahi kuwa kocha mkuu ila alisahau njaa ya mafanikio aliyonayo Fadlu David's kwenye kutengeneza rekodi nzuri kwake kama mwalimu
Alisahau kuwa kuifundisha Raja Casablanca kama kocha msaidizi ni bora kuliko kufundisha timu isiyoshiriki michuano mikubwa ya Africa
Note :
Ana ubingwa wa ligi ya Morocco tena akiwa unbeaten dhidi ya Wydad,Far Rabat, Fus na timu nyingine.
Wakati anacheza mpira alikuwa mshambuliaji tena aliwahi kuwa second top score wa ligi daraja la pili South Africa utamwambia nini kuhusu uzoefu.
Akiwa na msimu wake wa kwanza Fadlu anaingia nusu fainal mbili (Caf na Tff) anausaka ubingwa wa ligi baada ya njaa kubwa ya Simba.
Akiwa na maingizo ya wachezaji 16 wa kikosi cha Simba anafanikiwa kupata kikosi cha kwanza na rotation bora, anafanikiwa kutengeneza njaa ya wachezaji kuitaka first eleven yake,
Fadlu David's anaisaka tuzo ya kocha bora wa ligi, tuzo ya kocha bora wa kombe la shirikisho la Tff na anaisaka tuzo ya Caf ya kocha bora wa kombe la shirikisho la Caf