Web

John Mrema: Kuzuia Uchaguzi Kutamwaga Damu Zaidi


John Mrema: Kuzuia Uchaguzi Kutamwaga Damu Zaidi


 “Wako wanaojenga hoja kushiriki uchaguzi ni kuwapeleka Vijana wakamwage damu kwamba tuna njaa ya damu wakati huohuo wakihamasisha tukazuie uchaguzi, hivi damu itamwagika wakati gani zaidi, wakati wa kushiriki uchaguzi au wakati wa mapambano na Dola, Polisi na Majeshi yake wakati wa kuzuia uchaguzi?”

“Wapo wanaotaka kutuaminisha kwamba kuzuia uchaguzi hakutomwagika damu, wakati tunakwenda tunatangaza kupambana na Dola na Majeshi kuzuia uchaguzi kitu ambacho hakijawahi kufanikiwa popote Duniani, Watu wanapambana wakiwa ndani ya Uchaguzi”

“Hii itupe tafakuri zaidi ni wakati gani damu itamwagika zaidi, sisi tunaotaka tugombee tunakwenda kuepusha Vijana wetu kuumizwa wakati wa kuzuia uchaguzi “—— John Mrema akiongea kwa niaba ya G55 Jijini Dar ess salaam April 06,2025

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad