TRANSFER NEWS
Klabu ya Al-Okhdood imefanya mazungumzo Na simba Ili kuinasa saini ya Leonel Ateba (25)
Simba SC iIpotayari kumuachia ateba kwa Kiasi cha dola milioni moja.
Ateba ana mabao 8+ na kusaidia michango katika mashindano yote ikijumuisha tuzo 2 za mchezaji bora wa mechi hadi sasa msimu huu.