Mara ya mwisho Fadlu Davids kumuamini Dese Mukwala jamaa alifunga Hattrick dhidi ya Coastal Union kwenye NBCPL …. Mukwala ana takwimu nzuri ya ufungaji zaidi ya chaguo la kwanza la Fadlu .
Mashabiki wengi wa Lunyasi wanamuhitaji Mukwala aanze game ya Tarehe 9 kwa Mkapa , ni kuotakana na performance ya Ateba haikuwa nzuri .
Kwa Mwalimu chaguo la kwanza ni Ateba amekuwa anamtumia kwenye game muhimu sana , ana muoffer vitu vingi but sio magoli lakini Dese atakupa magoli zaidi kama kazi ya ilivyo .
For sure kwa performance ya Ateba dhidi ya Al Masry , nafikiri Dese anatakiwa kuzima pale mbele .