Klabu ya @yangasc ikiwa na hati hati ya kuweza kukosa huduma za wachezaji wake muhimu kama Mzize na Aziz Ki imeanza kutazama mbadala wa kikosi hicho kwa kufanya mazungumzo na baadhi ya klabu ili kunasa saini za wachezaji hawa.
Kutoka Azam fc yanga iko mbioni kunasa saini ya mshambuliaji gibril sillah, na Jonathan Sowah kutoka singida black star
Pia klabu kiungo mshambuliaji Mohammed Omar Ali Bajaber raia wa kenya anaye kipiga katika klabu ya Kenya police FC
“Bajaber ni kiungo mzuri, endapo Yanga watafanikiwa kumpata atawasaidia kwani bado ana umri mdogo lakini pia aina ya uchezaji wake ataweza kuendana na kasi ya ligi ya Tanzania,” amesema Baraza, kocha wa zamani wa Biashara United na Kagera Sugar za Tanzania akizungumzia ubora wa kiungo huyo
Cc: Mwanaspoti