Web

Mshahara wa Aziz K Umewashtua Wengi Afrika....



Mtandao wa Africa Facts Zone umetoa orodha ya Wachezaji Wanaolipwa zaidi katika Ligi za Afrika kila Mwaka kupitia kurasa wao wa Twitter (X) huku kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Stephane Aziz Ki akishika nafasi ya 4 katika orodha hiyo.

Misri 🇪🇬 - Ali Maaloul 🇹🇳 | $1.5 milioni | Al Ahly

Afrika Kusini 🇿🇦 - Ronwen Williams 🇿🇦 | $320,000 | Mamelodi Sundowns

Angola 🇦🇴 - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de Luanda

Tanzania 🇹🇿 - Stephane Aziz Ki 🇧🇫 | $240,000 | Young Africans SC

Rwanda 🇷🇼 - Richmond Lamptey 🇬🇭 | $120,000 | APR FC

Zimbabwe 🇿🇼 - Khama Billiat 🇿🇼 | $72,000 | Scotland FC

Nigeria 🇳🇬 - Sikiru Alimi 🇳🇬 | $10,163 | Remo Stars

Eswatini 🇸🇿 - Neliswa Dlamini 🇸🇿 | $7,672 | Nsingizini Hotspurs FC

Credit: Africa Facts Zone

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad