Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameingiza mguu mmoja kwenye fainali ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
Simba Sc 🇹🇿 1-0 🇿🇦 Stellenbosch
⚽ 45+2’ Ahoua
Mchezo wa marudiano utakaopigwa Aprili 27, 2025 huko Afrika Kusini utaamua timu itakayokata tiketi ya fainali ya CAFCC 2025.