Kikosi cha Simba SC kitacheza dhidi ya Singida Black Stars hatua ya nusu fainali ya Kombe la CRDB kati ya Mei 16-17.
Singida BS imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, wakati huohuo JKT Tanzania inamsubiri mshindi wa Yanga SC dhidi ya Stand Utd kwenye nusu fainali ya Kombe la CRDB.
FT. Singida BS 2️⃣-0️⃣Kagera Sugar.
FT. JKT Tanzania 3️⃣-1️⃣Pamba JIJI FC.