Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameisukumiza Mbeya City nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) na kutinga nusu fainali kufuatia ushindi wa 3-1 katika dimba KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.
FT: Simba Sc 3-1 Mbeya City
⚽ 24’ Ngoma
⚽ 30’ Ateba
⚽ 43’ Mutale
⚽ 22’ Mudathir