Clement Mzize na Prince Mpumelelelo Dube kila mmoja amefikisha jumla ya magoli 11 kwenye Ligi Kuu bara wakati Wananchi, Young Africans Sc wakilipa kisasi dhidi ya Nyuki wa Tabora United katika dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
FT: Tabora United 0-3 Yanga Sc
⚽ 21’ Mwenda
⚽ 57’ Mzize
⚽ 68’ Dube
MSIMAMO: NBCPL
1. Yanga Sc mechi—mechi 23— pointi 61
2. Simba Sc—mechi 23— pointi 57
3. Azam Fc —mechi 23— pointi 48
4. Singida BS —mechi 24— pointi 47
MATOKEO MENGINE
FT: Fountain Gate 0-3 Singida Black Stars
FT: Pamba Jiji Fc 1-1 Namungo Fc
FT: KMC Fc 3-2 TZ Prisons