Miamba ya Nchini Misri, Al Ahly na Pyramids zimeanza hatua robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi huku Maharamia wa Afrika Kusini, Orlando Pirates wakiilaza MC Alger ya Algeria ugenini.
Fiston Kalala MAYELE ameingia kambani mara mbili
FT Pyramids 🇪🇬 4-1 🇲🇦 FAR Rabat
⚽ 02’ Mayele
⚽ 12’ Mayele
⚽ 39’ Adel
⚽ 67’ Adel
⚽ 45’ Hadraf
FT Al Ahly 🇪🇬 1-0 🇸🇩 Al-Hilal Omdurman
⚽ 12’ Hany
FT MC Alger 🇩🇿 0-1 🇿🇦 Orlando Pirates
⚽ 67’ Nkota