Wananchi ama mashabiki wa Klabu ya Young Africans, wamealikwa na Digital Manager wao privaldihno kwaajili ya kuiunga mkono Al Masry kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
"Asanteni sana wazeee… mkija hapa tupo pamoja msijali. Hamtakuwa wapwekee". Anaandika Priva Abiud Shayo Digital Manager wa Klabu ya Young Africans.