Wananchi, Young Africans Sc wameifuata JKT Tanzania kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) kufuatia ushindi mnono wa 8-1 dhidi ya Stand United katika dimba la KMC Complex kwenye mchezo wa robo fainali.
Yanga Sc 8-1 Stand United
⚽ 16’ Aziz Ki
⚽ 20’ Kibabage
⚽ 32’ Chama
⚽ 39’ Chama
⚽ 51’ Aziz Ki
⚽ 60’ Aziz Ki
⚽ 63’ Aziz Ki
⚽ 87’ Musonda
⚽ 49’ Msenda