Mwamuzi Mkongo Aliyefungua AFCON 2025 Apewa Kuchezesha Fainali Leo


Jean-Jacques Ndala Mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiye atakayechesesha fainali ya AFCON 2025 kati ya Senegal na Morocco.

Ndala pia alichezesha mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoros.

Set ya waamuzi ni pamoja na

  • Mwamuzi: πŸ‡¨πŸ‡© Jean Ndala
  • Wasaidizi :πŸ‡¨πŸ‡© Guylain Ngila & πŸ‡¨πŸ‡© Mwanya Mobilize
  • Mwamuzi wa nne: πŸ‡ΏπŸ‡¦ Abongile Tom
  • VAR: πŸ‡°πŸ‡² Styven Moyo

Ndala amechezesha mechi nyingi za kimataifa, ikiwemo mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia na mashindano ya CAF Champions League. Hii itakuwa fainali yake ya nne ya AFCON

Related Posts