Kocha Florent Ibenge Achukuliwa na Azam Kuwa Kocha Mkuu
Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano ya kumuajiri Kocha Florent Ibenge kutoka DR Congo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Baada ya makubaliano kukamilika, Ibenge ameondoka nchini na kwa sasa…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Habari za Michezo Kutoka Tanzania, Tetesi za Usajili wa Ndani na Nje ya Tanzania, Matokeo ya Timu na Vikosi Katika Mechi Mbali Mbali
Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano ya kumuajiri Kocha Florent Ibenge kutoka DR Congo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Baada ya makubaliano kukamilika, Ibenge ameondoka nchini na kwa sasa…
Mgogoro wa Derby ya Kariakoo Wafika FIFA, TFF Kuchunguzwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi…
Ally Mayai Atajwa Kutangaza Nia ya Kugombea Urais TFF Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Agosti 2025 mkoani Tanga, hekaheka za…
Mangungu Awaonya Wanaotaka Kuchukua Nafasi ya Karia Urais TFF Mwenyekiti upande wa wanachama wa klabu ya Simba Sc mzee Murtaza Mangungu ni moja kati ya wadau wa kubwa wa soka…
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kufunga dili muhimu kwa kuhakikisha kiungo wake mahiri Maxi Mpia, anaendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi hadi mwaka 2027. Maxi, ambaye amekuwa sehemu ya…
Max Nzengeli ni Mchezaji Halali wa Yanga Hadi 2027, Apewa Mkataba Mpya Maxi aliongeza mkataba wa miaka miwili kubaki Yanga,na kila kitu kilikamilika mwezi mmoja uliopita✅ Maxi ni kijani na…
Aziz Ki Kupangwa Mechi ya Wydad na Manchester City Stephane Aziz Ki amepangwa kuichezea Wydad Athletic Club ya Morocco katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia la Klabu…
Edo Kumwembe: Binafsi Naamini Almasi Kasongo na Steven Mguto Wametolewa Kafara EDO KUMWEMBE amesema kuwa “Tunaahirisha mechi bila ya kujua madhara yake. Kuna watu wanaingia gharama nyingi kutoka mikoani kuja…
Almas Kasongo, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, amekumbwa na mabadiliko makubwa baada ya kuondolewa kwenye nafasi yake. Hatua hii imeibua mjadala mpana katika duru za michezo, huku ikihusishwa…
Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare…
Kwa mujibu wa Maamuzi ya uongozi wetu wa @simbasctanzania mechi ya kariakoo derby namba 184 ilipaswa kuchezwa leo majira ya saa 11 jioni Benjamini William Mkapa mara baada ya Bodi…
Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo Dr Fiston Mayele amewaaga mashabiki wa prymid baada ya kuhudumu miaka miwili Fiston…
Kupitia taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeelezwa kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi…
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali. Bafana Bafana itachuana na Angola…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja…
RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF), Wallace Karia, amemshitaki Mwanachama wa Yanga SC. Haji Sunday Manara kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya…