Haikuchukua mwezi. Haikuwa hata mchakato wa muda mrefu. Ilikuwa wiki moja tu wiki moja iliyonivua kila kitu nilichokuwa nikijivunia. Kazi niliyopigania kwa miaka iliniponyoka bila maelezo. Biashara ilianza kuporomoka ghafla. Marafiki walinitenga kimya kimya.
Ndani ya siku saba, maisha yangu yalibadilika kuwa magofu. Nilikuwa naamka kila asubuhi nikiwa na matumaini kuwa leo mambo yatanyooka. Badala yake, kila siku ilileta pigo jipya. Simu zilinyamaza.
Milango ilifungwa. Kila nilipopiga hatua mbele, nilihisi kama kuna mkono usioonekana unanisukuma nyuma. Nilianza kujiuliza, “Nimekosea nini?” lakini sikupata jibu.
Kilichoniumiza zaidi si kupoteza mali, bali kupoteza mwelekeo. Soma zaidi hapa
