Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaogopa kioo. Nilikuwa mtu wa kawaida, mwenye afya, mwenye ndoto na mipango. Lakini polepole, mambo yalianza kubadilika bila maelezo.
Nilikuwa nachoka bila kufanya kazi ngumu, usingizi haukuwa usingizi, na kila asubuhi niliamka nikiwa mzito kama mtu aliyebeba mzigo usioonekana. Watu walidhani labda ni msongo wa mawazo au uchovu wa maisha.
Nilijiambia pia hivyo. Lakini ndani yangu nilihisi kuna kitu kinanivuta chini. Kila siku nguvu zangu zilipungua. Kumbukumbu zilianza kunipotea. Nilianza kujitenga. Nilikuwa nahisi kama nipo lakini sipo. Siku moja usiku, nikiwa nimechoka kupita kiasi, nilienda bafuni kuosha uso. Soma zaidi hapa
