Usiku ule bado naukumbuka kama jana. Nililala nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu ya kazi, bila kujua kwamba kulikucha maisha yangu yakiwa yamegeuka kabisa. Nilipoamka asubuhi, mlango ulikuwa wazi, makabati yamevurugwa, na vitu vyangu vya thamani vilikuwa vimetoweka.
Simu, pesa, nyaraka muhimu, hata bidhaa za biashara yangu ndogo vyote vilikuwa vimechukuliwa bila huruma. Jirani walikusanyika, wengine wakiniongea kwa huruma, wengine kwa mashaka. Baadhi walinidokeza huenda watu ninaowajua ndio walihusika.
Nilitoa taarifa polisi, nikaeleza kila kitu, lakini majibu yalikuwa yale yale: “Tutafuatilia.” Siku zikapita, wiki zikapita, lakini hakuna kilichopatikana. Biashara ilisimama, deni likaanza kunisukuma ukutani, na usingizi ukanikimbia. Kilichoniumiza zaidi siyo kupoteza mali pekee, bali ile hali ya kukosa matumaini. Soma zaidi hapa
