Kwa muda mrefu nilikuwa mtu wa “kujitahidi sana bila kuona matokeo.” Nilifanya kazi kwa bidii kuliko wengi, nikaamka mapema, nikarudi nyumbani usiku, lakini kila nilichoshika hakikukaa. Mapato yalipotea, fursa zilipita mikononi, na kila nilipokaribia kufanikiwa, kitu fulani kilivuruga mambo.
Nilianza kujiuliza kama nilizaliwa bila bahati.
Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu niliowazidi juhudi wakipiga hatua kubwa. Wengine walipata ajira, wengine walipanua biashara, nami nilibaki palepale. Kila mtu alinipa ushauri wake badilisha kazi, hama mji, soma tena lakini nilipofanya hayo, bado hakuna kilichobadilika. Soma zaidi hapa
