Hatimaye Mke wa MWIJAKU arudi Nyumbani

Baada ya kukaa kipindi kirefu bila ya kuwa nyumbani mke wa socialite maarufu nchini Mwijaku anayejulikana kwa jina la Alice Hatimaye ameonekana tena nyumbani kwa mume wake huyo

Kwa mujibu wa Mwijaku mara kadhaa amekuwa akiweka wazi kuvunjika kwa mahusiano yake na kuachwa na mke wake huyo ila kwasasa mambo yako Hadharani mama karejea tena nyumbani

Kupitia ukurasa wake wa instagram Mwijaku ameonesha furaha yake kwa kuandika haya

“Sema WOYOOOOOOO …! Njooni niwape dawa . Nina wachaga wanajielewa . Ila tafuteni pesa tu”

Related Posts