Simba Sc wameendelea kugawa utamu kwenye Michuano ya #CAFCL baada ya kufungwa bao 1-0 na Esperance De Tunis na kuendelea kushika mkia kwenye kundi ikiwa ina pointi 0.
FT’ 🇹🇳 Espérance De Tunis 1️⃣ – 0️⃣ Simba SC 🇹🇿
Simba hawajavuna Alama yeyote mpaka sasa kwenye mashindano ya CAFCL , timu yenye matokeo mabovu kuliko timu zote ndani ya Mashindano hayo mpaka sasa .
Kwenye makundi yote manne Simba pekee ndio wenye Alama 0 . Hali sio nzuri kwa Mnyama
