Angella Afunguka Tetesi za Kuzaa na Harmonize

Harmonize sio baba mtoto wangu – Anjella
JambomailJan 29, 2026Read original

Mwimbaji wa zamani wa Konde Music Worldwide, Anjella amesema baba wa mtoto wake sio Harmonize kama baadhi ya watu wanavyodai.

Anjella amesema baba mtoto wake yupo ila kwa sasa hayupo tayari kumuweka wazi mbele ya macho ya umma.

Utakumbuka Anjella alikuwa msanii wa Konde Music kwa takribani miaka mitatu kabla ya kusitishiwa mkataba wake na lebo hiyo.

Related Posts