
Klabu ya Simba Sc imeporomoka kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya 8 kwenye viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika ndani ya miaka mitano iliyopita vilivyotoka baada ya kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa msimu wa 2025/26.
Simba Sc ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi 38 huku mahasimu wao, Young Africans Sc wakiwa nafasi ya 10 baada ya kukusanya pointi 35 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Azam FC na Singida Black Stars wapo nafasi ya 35 kila mmoja akiwa na pointi 5.
- πͺπ¬ Al Ahly – 66 pts
- πΏπ¦ Sundowns – 58 pts
- πΉπ³ Esperance Tunis – 53 pts
- π²π¦ RS Berkane – 52 pts
- πͺπ¬ Pyramids – 48 pts
- πΈπ© Al Hilal – 39 pts
- πͺπ¬ Zamalek – 39 pts
π. πΉπΏ ππ’π¦ππ – ππ π©ππ¬ - π©πΏ USMA – 37 pts
ππ. πΉπΏ πππ§π π – ππ π©ππ¬
