Je, kuna kitu kinauma zaidi kuliko kusalitiwa ndani ya nyumba uliyolipa kodi na kuijenga kwa jasho lako? Hiyo ndiyo hali aliyopitia Peter wa mjini Kitengela aliporudi nyumbani mapema bila taarifa na kumkuta mkewe akiwa katika hali ya kutatanisha na mwanaume mwingine sebuleni kwao. Lakini kilichoanza kama tukio la hasira na fedheha, kiligeuka kuwa ukweli mzito zaidi baada ya simu moja kuingia na kufungua pazia la siri iliyokuwa imefichwa kwa muda mrefu.
Peter na Anne walikuwa wameoana kwa miaka saba. Walikuwa na mtoto mmoja wa miaka mitano. Kwa nje, walionekana kama wanandoa wa…SOMA ZAIDI
