Wahenga walisema usiku ni rafiki wa siri. Lakini pia usiku ndio hutoa ukweli pale kila mtu anapodhani amefanikiwa kuficha mambo. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Catherine na James wa mjini Syokimau, ambao ndoa yao ya miaka nane ilitikiswa na simu moja tu iliyoingia saa sita usiku.
Catherine alikuwa mwanamke mwenye bidii. Alifanya kazi benki mchana na jioni alihakikisha familia iko sawa. James alikuwa mfanyabiashara wa vifaa vya magari. Kwa muda mrefu waliishi…SOMA ZAIDI
