
Laurindo Aurélio ‘Depu’ amefunga magoli matatu ‘hat-trick’ huku Wananchi wakitinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) kufuatia ushindi wa 7-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika dimba la KMC Complex, Mwenge.
Wananchi watachuana na TMA Stars FC kwenye hatua inayofuata.
FT: Yanga Sc 7-1 Polisi TZ
⚽ 01′ Mudathir
⚽ 22′ Depu
⚽ 36′ Depu
⚽ 38′ Majagi (og)
⚽ 59′ Depu
⚽ 76′ Buba
⚽ 84′ Abdulnasir
⚽ 81′ Asinki (og)
