Mume wa Vanessa Mdee Afunguka”Ulevi Ulitaka Kuniangamiza”

Mume wa Vanessa Mdee Afunguka"Ulevi Ulitaka Kuniangamiza"
Mume wa Vanessa Mdee Afunguka”Ulevi Ulitaka Kuniangamiza”

Baba watoto wa Vanessa Mdee, Rotimi anasema chupuchupu Pombe/Ulevi iangamize maisha yake sababu ilimpa stress na kuona maisha magumu.

Picha ya msanii Rotimi

Rotimi anasema unywaji pombe ulimfanya aone ana ujasiri wa uongo, nguvu za uongo na uhakika kumbe vyote hivyo ilikuwa ni uongo wa adui (Shetani).

Pia amepitia maumivu makali kwenye pombe na alikuwa anapata ahueni ndani ya siku 2 mpaka 3 baada ya kunywa jambo ambalo lilimuachia majuto makubwa akiamka asubuhi na kujiuliza kwanini amefanya hivyo.

Kwa sasa anamshukuru Mungu kwa kumponya kutoka huko, ukuaji na kumpa familia ambayo imembadilisha maisha yake na hataki kukumbuka siku hizo zilizopita.

Related Posts