
Timu ya Taifa Tanzania, ‘Taifa Stars’ imekubali kichapo cha 1-0 dhidi Liechtenstein katika dimba la Kigali Pele, Rwanda kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki wa FIFA Series 2026.
Liechtenstein ambayo ipo nafasi ya tano kutoka mwisho (206) kwenye viwango vya FIFA imepata ushindi wake wa pili kwenye mechi zaidi ya 30 ikiwa ni ushindi wao wa 17 kwenye mechi 192 kihistoria.
FT: Tanzania 🇹🇿 0-1 🇱🇮 Liechtenstein
⚽ 55’ Ferhat Saglam
