Paul Makonda Afunguka Kuhusu Dudu Baya na Kauli zake za “You Better Watch Your Back”.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema wanajipa muda kufuatilia malalamiko kuhusu kauli za Msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya, ikiwemo ya “You better watch your back”.

Akizungumza leo Septemba 24, 2026 Jijini Dar es salaam, Makonda amesema “kabla sijaja hapa nilikuwa nauliza wataalamu kuhusu moja ya maswali ambayo Watu wanauliza, kwa sababu mimi najua lazima uwe proactive sio kusubiri, kwahiyo naomba tujipe muda.”

“Tuwape nafasi Wataalamu wetu waweze kufanya kazi, wanaweza kuchukua hatua na hakuna Mtu atakayewazuia kwa sababu wakichukua hatua wananisaidia sana mimi kupunguza pressure,” amesema Makonda.

Related Posts