Tanzania U23 yaifunga Kenya 3-1, lakini Kenya yafuzu kwa jumla ya mabao 5-4

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 23, Taifa Stars U23, imeifunga Kenya U23 kwa mabao, licha ya ushindi huo, Tanzania imeshindwa kuvuka kutokana na mat 3-1 katika mchezo wa kufuzu AFCON U23.

Sheikhan Khamis alifunga bao moja, huku Selemani Mwalimu akifunga mabao mawili na kuisaidia Tanzania kupata ushindi wa 3-1 katika mchezo huo.

Hata hivyo, licha ya ushindi huo, Tanzania imeshindwa kuvuka kutokana na matokeo ya jumla ya michezo miwili, ambapo Kenya imefanikiwa kusonga mbele kwa mabao 5-4.

Matokeo hayo yanaifanya Tanzania kuondoka kwenye kinyang’anyiro hicho ikiwa imepata ushindi wa mchezo wa pili, lakini tofauti ya mabao ya jumla imeipa Kenya nafasi ya kuendelea na safari ya kufuzu AFCON U23.

Related Posts