Jina langu ni Emmanuel. Kufanya kazi kwa miaka mingi na kufanikiwa kujenga nyumba ya familia yako, halafu mahali hapo paje kugeuka kuwa chanzo cha hofu, usiku wa manane na kukosa amani ni mateso makubwa yanayoweza kumfanya mtu yeyote achanganyikiwe.
Kwa zaidi ya miezi nane, nyumba yangu na familia yangu tulikuwa tukipitia tishio kubwa la usalama. Kila baada ya wiki chache, majambazi na wezi waliweka kambi nyumbani kwangu; walikuwa wakivunja milango, kubeba vitu vya thamani, na kututishia maisha.
Zaidi ya hayo, wakati wa usiku tulikuwa tukisikia vishindo vya ajabu paa la nyumba, milango kujigonga yenyewe, na sauti za watu wakitembea uwanjani lakini ukichungulia huoni mtu. Nilibaki nikikosa usingizi kila usiku, nikiwa na hofu kubwa ya usalama wa mke wangu na watoto wangu. SOMA ZAIDI.
