Jina langu ni Macharia. Wazo la kufungua biashara mpya huwa linakuja na furaha na matumaini makubwa ya kujenga maisha bora na kujikwamua kiuchumi.
Hata hivyo, pale unapotumia akiba yako yote kununua bidhaa, kulipa pango la miezi kadhaa, na kuweka kila kitu sawa, halafu miezi sita inapita bila kupata wateja wa maana, hiyo ni changamoto inayoweza kukutoa machozi.
Hali hiyo ndiyo iliyonikuta wakati nilipofungua duka langu la nguo na viatu vya kisasa. Kila siku nilikuwa nikiamka mapema, nikifungua duka kwa wakati na kusafisha bidhaa zangu, lakini hadi jioni inafika, wateja walikuwa wakipita tu nje bila hata kuingiza mguu ndani.
Nilibaki nikitazama biashara zingine za jirani zikifanya vizuri huku duka langu likiendelea kukauka na kunilundikia madeni ya kodi.SOMA ZAIDI.
