Kupitia miaka saba ya ndoa bila kupata mtoto huku ukipokea maswali ya kejeli, dharau, na migogoro ya kifamilia ni jeraha kubwa la moyo linaloweza kumfanya mwanamke yeyote kulia kimya kimya kila kukicha.
Tangu niolewe, ndoto yangu kubwa ilikuwa ni kusikia sauti ya mtoto ndani ya nyumba yangu. Hata hivyo, miezi ilibadilika kuwa miaka bila baraka hiyo.
Nilizunguka hospitali mbalimbali za kifahari, nikameza vidonge vingi vya homoni, na kufanyiwa vipimo vya kila aina, lakini madaktari walikuwa wakiniambia vipimo vyangu viko sawa au kunipa sababu za kinasaba ambazo hazikuwa na ufumbuzi wa kudumu.
Nikiwa nimechoka miili na nafsi, nilianza kusikia hata minong’ono ya ndugu wa mume wangu wakishauri mume wangu aoe mke mwingine. SOMA ZAIDI.
