Lamine Yamal Aweka Historia Mpya: Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Kwa Mara ya Tatu Mfululizo (2024–2026)

Lamine Yamal Aweka Historia Mpya: Ashinda Tuzo ya Kopa Kwa Mara ya Tatu Mfululizo (2024–2026)
Winga machachari wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Lamine Yamal, ameendelea kudhihirisha ukubwa wa kipaji chake baada ya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Duniani (Kopa Trophy) kwa mara ya tatu mfululizo.

Yamal ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya soka kushinda tuzo hiyo inayotolewa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 21 mara tatu mfululizo (2024, 2025, na 2026).

Ushindi huo ulitangazwa rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or iliyofanyika jijini London, Uingereza, ambapo Yamal aliwabwaga mchezaji mwenzake wa Barcelona, Pau Cubarsí, pamoja na kiungo wa Paris Saint-Germain, Warren Zaïre-Emery.

Related Posts