
Usiombe Ukutane na Yanga, Utalamba Nyasi Sana, Kagera Yafumuliwa Vibaya
Wananchi, Young Africans SC wamechomoza na ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Wana Super Nkurukumbi, Kagera Sugar FC katika uwanja wa KMC Complex Mwenge, Dar es Salaam.
Wananchi wamerejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi Kuu ya NBC Tanzania bara alama 25 baada ya mechi 10, alama mbili nyuma ya vinara Simba SC wenye mchezo mkononi.
FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar
β½ 26β Shalulile
β½ 32β Zimbwe Jr
β½ 87β TourΓ©
β½ 90+6β TourΓ©
