Mbona Kama Huyu Kocha Anaijulia Sana Yanga?

Mbona Kama Huyu Kocha Anaijulia Sana Yanga?
Mbona Kama Huyu Kocha Anaijulia Sana Yanga?

Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Sc, Simon Dladla amekuwa akiwavutia mashabiki wa Yanga Sc kwa aina ya timu yake inavyocheza

Lakini amekuwa akifanya mabadiriko ya wachezaji ambayo yanaendana na Kasi ya timu na kuleta matokeo mazuri

Kwenye mchezo wa jana dhidi ya Kagera Sugar amefanya mabadiriko ya kumuingiza, Clement Mzize na Ibrahimu Toure pamoja na Abushiri Jumaa “Chuga Boy”

Kwenye mabadiriko hayo Ibrahimu Toure amefunga bao la Tatu baada ya kupokea pasi ya goli kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe

Pia Clement Mzize ametoa pasi iliyozaa goli la nne lilofungwa na Ibrahimu Toure

Related Posts