
Mwigizaji Irene Uwoya amefunguka kwanini wamekuwa hadumu katika mahusiano kwa muda mrefu.
Akizungumza katika show ya The A List, Uwoya amesema yeye ni mgumu sana kupenda.
“Kweli ni kwamba mimi ni ngumu sana kupenda… Pia napendaga kuwalipizia baadhi ya vitu, kwa hiyo huwaga siwapendagi,” amesema.
Ikumbukwe katika show hiyo, Irene Uwoya aliwahi kukana kufunga ndoa na Dogo Janja.
