Kikosi cha RS Barkane kimegoma kupanda magari ambayo yaliandaliwa na wenyeji wao Simba Sc kutwapokea airport kuelekea Hotelini.
Mpaka muda huu bado Barkane hawajaondoka katika eneno la Airport na wameagiza magari mengine kuwafata.