Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Algeria MC Alger wamewasilisha Rasmi ofa ya kutaka Kumsajili Kibu Denis Kutoka Simba SC.
Simba Wamethibitisha Kupokea Ofa hiyo ✍️
Kuanzia sasa menejimenti ya Simba SC itaketi kujadili na kutathmini ofa hiyo kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.

