Nyota wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ataendelea kusalia kwenye viunga vya chamazi na wana mpango wa kumuongezea mkataba mpya waajiri wake wa sasa Azam FC.
Kaizer Chiefs ilijaribu kumshawishi mchezaji na wakawasilisha ofa Azam FC lakini hawakufikia mwafaka dili likafa, hakuna timu ya Tanzania inayoweza kumsajili kwa sasa.

